Kinyelayu

Kinyelayu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wanyelayu. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinyelayu imehesabiwa kuwa watu 1960. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyelayu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyelayu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.