Kinyiyaparli ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyiyaparli katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyiyaparli watatu tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyiyaparli kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyiyaparli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |