Kioirata ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waoirata. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kioirata imehesabiwa kuwa watu 1220. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioirata iko katika kundi la Kitimor-Pantar-Alor.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioirata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |