Kipa-Di

Kipa-Di ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam na Uchina inayozungumzwa na Watày. Idadi ya wasemaji wa Kipa-Di imehesabiwa kuwa watu 1000 nchini Uchina na 300 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipa-Di iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipa-Di kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.