Kipear

Kipear ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Kamboja inayozungumzwa na Wapear. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kipear imehesabiwa kuwa watu 1670. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipear iko katika kundi la Kipeariki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipear kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.