Kipintupi-Luritja ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapintupi na Waluritja katika majimbo ya Northern Territory na Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kipintupi-Luritja 1690. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipintupi-Luritja kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipintupi-Luritja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |