Kipunan-Merah (pia Kimerah) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapunan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipunan-Merah imehesabiwa kuwa watu 140 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunan-Merah iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipunan-Merah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |