Kira Isabella

Kira Isabella akitumbuiza kwenye Tamasha la Muziki la Boots and Hearts 2013.

Kira Isabella Wilkie (aliyezaliwa 18 Septemba, 1993) ni msanii wa muziki wa country kutoka Kanada. Isabella alisainiwa na Sony Music mwaka 2009.[1][2][3]

  1. "Kira Isabella Biography". CMT. Iliwekwa mnamo Novemba 2, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Official Kira Isabella Site". Kiraisabella.ca. Iliwekwa mnamo 2014-05-20.
  3. "HitShop Records Signs Canadian Country Singer Kira Isabella". All Access Music Group. Iliwekwa mnamo Novemba 20, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kira Isabella kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.