Kisakata (lugha)

Kisakata ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasakata. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kisakata imehesabiwa kuwa watu 75,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisakata iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisakata (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.