Kiseit-Kaitetu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waseit na Wakaitetu kwenye kisiwa cha Ambon. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiseit-Kaitetu imehesabiwa kuwa watu 10,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseit-Kaitetu iko katika kundi la Kimaluku.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiseit-Kaitetu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |