Kisenoufo-Cebaara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wasenufo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisenoufo-Cebaara imehesabiwa kuwa watu 862,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisenoufo-Cebaara iko katika kundi la Kigur.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisenoufo-Cebaara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |