Kishambala (au Kisambaa) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Washambala. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kishambala imehesabiwa kuwa watu 664,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kishambala iko katika kundi la G20.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishambala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |