Kisiwa cha Yambe

Kisiwa cha Yambe ni kisiwa kikubwa kuliko vyote vya mkoa wa Tanga, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi, mashariki mwa mji wa Tanga.

Kisiwa hicho cha wilaya ya Tanga kimo chini ya mamlaka ya Hifadhi ya Tanga Coelacanth Marine Park (TCMP) ambayo imo chini ya taasisi ya hifadhi ya bahari nchini Tanzania (Tanzania Marine Parks and Reserves)[1].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi.

Kisiwa hicho ni kati ya visiwa vyenye magofu ya historia ya Waswahili, ambayo bado kufukuliwa.[2][3]

Ni eneo linalotunzwa kutokana na upatikanaji wa mabaki ya kihistoria na limo ndani ya Tanga Coelacanth Marine Park (TCMP).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Marine Parks | Marine Parks". www.marineparks.go.tz. Iliwekwa mnamo 2022-08-12.
  2. James De Vere Allen. “Swahili Architecture in the Later Middle Ages.” African Arts, vol. 7, no. 2, UCLA James S. Coleman African Studies Center, 1974, pp. 42–84, https://doi.org/10.2307/3334723.
  3. Allen, James De Vere (1974). "Swahili Architecture in the Later Middle Ages". African Arts. 7 (2): 42–84. doi:10.2307/3334723. ISSN 0001-9933.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Yambe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.