Kismet ni kichwa cha roboti kilichotengenezwa na dokta Cynthia Breazeal mwishoni mwa miaka ya 1990 katika Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (Massachusetts Institute of Technology, kwa kifupi MIT) kama jaribio la kompyuta yenye ufanisi; mashine ambayo inaweza kutambua na kuiga hisia.
Jina Kismet linatokana na neno la Kituruki linalomaanisha "hatima" au wakati mwingine "bahati".
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kismet kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |