Kitai-Dón

Kitai-Dón ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam, Uchina na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitai-Dón nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Laos (1995) na wasemaji 15,000 nchini Uchina (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Dón iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Dón kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.