Kitai-Hongjin

Kitai-Hongjin ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitai-Hongjin imehesabiwa kuwa watu 85,000, na lugha imo hatarini mwa kutoweka kwa vile Wadai wengi hubadilisha lugha yao ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Hongjin iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Hongjin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.