Kiteshenawa

Kiteshenawa ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wateshenawa. Hakuna wasemaji wanaoendelea kuzungumza lugha ya Kiteshenawa, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiteshenawa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteshenawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.