Kitiwa (au Kilalung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Watiwa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitiwa imehesabiwa kuwa watu 27,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitiwa iko katika kundi la Kisal.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitiwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |