Kiwaamwang ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya iliyozungumzwa na Wawaamwang. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiwaamwang, yaani lugha imtoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaamwang iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwaamwang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |