Kiwayu | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Lamu |
Kiwayu ni mji wa Kenya mashariki katika Kaunti ya Lamu.
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kiwayu (Kenya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |