Kiwogeo

Kiwogeo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawogeo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiwogeo imehesabiwa kuwa watu 1620. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwogeo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwogeo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.