Kiwolani

Kiwolani ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawolani. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiwolani imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolani iko katika kundi la “Wissel Lakes”.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwolani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.