Kiyorta-Yorta kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayorta-Yorta katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyorta-Yorta, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyorta-Yorta kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyorta-Yorta.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyorta-Yorta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |