Kizhuang-Dai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Dai nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 200 tu nchini Vietnam (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Dai iko katika kundi la Kitai ya Kati.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Dai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |