Kuku wakupaka ni kuku aliepakwa viungo na kukangwa[1] na pia huitwa “kuku wakupaka”. kina athari za Kiarabu, Kihindi na Kiafrika. Chicken kwa Kiswahili inamaanisha kuku.[2] [3] Chakula hiki ni maarufu sana katika pwani ya Afrika Mashariki na miongoni mwa jumuiya za Wahindi wanaoishi Kenya, Tanzania na Uganda.smear kwa kiswahili inamaanisha kupaka.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |