Kyra Lillee Cooney-Cross (alizaliwa 15 Februari 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Arsenal,[2] iliyopo Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Australia. Hapo awali ameichezea Hammarby IF huko Damallsvenskan, na vile vile Western Sydney Wanderers na Melbourne Victory kwenye W-League.[3][4]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kyra Cooney-Cross kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |