Laila Ferrer e Silva Domingos (alizaliwa Pacatuba, Ceará, 30 Julai 1982) ni Mbrazili anaye rusha mikuki[1][2]. Alimaliza kushiriki michezo ya kurusha mikuki ya olimpiki ya mwaka 2012 kipindi cha majira ya joto[3]. Pia aliwahi kushiriki Mashindano ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020[4].
Disemba 2012, aliolewa na mwanamichezo mrusha nyundo Wagner Domingos.[5]