Laura Kahunde ni muigizaji kutoka nchini Uganda. Kwa sasa anaigiza kama Angela katika NTV's Second Chance (Ugandan telenovela) Anafahamika pia kuigiza katika filamu za Mariam Ndagire's Hearts in Pieces akiwa na Abby Mukiibi, Where We Belong,[1] na Dear Mum akiwa na Mariam Ndagire mwenyewe. Ameshiriki pia kwenye Usama Mukwaya Hello (2011 filamu) iliyomfanya akashinda katika tuzo za mwanafunzi muigizaji bora wa kike mwaka 2011 MNFPAC. Pia amejitokeza katika filamu ya Henry Ssali ijulikanayo kama Bullion (2014 filamu)| Bullion pamoja na dada yake Juliana Kanyomozi. Amethibitisha kufanya kazi tena pamoja na Usama Mukwaya katika filamu yake ijayo Love Faces (filamu)|Love Faces akiwa na Moses Kiboneka Jr. na Patriq Nkakalukanyi.[2]
Laura ni mzaliwa wa mwisho wa Gerald na Catherine Manyindo. [3] Pia ni binamu wa King Oyo, mtawala Omukama wa Toro, kaskazini mwa Uganda na ni dada wa muimbaji na muigizaji Juliana Kanyomozi[4] na pamoja wametokea kwenye filamu ya, Bullion.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)