“Letter 2 My Unborn” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac kutoka katika albamu ya Until the End of Time | |||||
Imetolewa | 19 Aprili 2001 | ||||
Muundo | CD | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 3:55 | ||||
Studio | Amaru/Interscope/Death Row Records | ||||
Mtunzi | Tupac Shakur | ||||
Mtayarishaji | Johnny "J" | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac | |||||
|
"Letter 2 My Unborn" ni wimbo uliotolewa na Tupac Shakur. Wimbo ulitolewa baada ya kufa kwake. Wimbo ulitolewa kama single kutoka katika albamu ya Until the End of Time mnamo 2001. Nao una muziki wa video ambao umepata kupigwa sana kwenye TV lakini haukuambulia mafanikio kama jinsi ilivyokuwa single nyingine kutoka katika albamu. Wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa Michael Jackson wa mwaka wa 1989 "Liberian Girl" (kutoka katika albamu ya Bad, 1987) ambayo alishirikisha mionekano ya wasanii kadha wa kadha. Toleo la Tupac lipo kwenye kasi ya juu na imeshirikisha sauti ya kike kwa nyuma, Tupac anamweleza mtoto wake jinsi alivyoishi maisha yake na kumwambia mtoto wake ambaye hajazaliwa kwamba asijihusishe na mambo ya matatizo na kuishia kufa - hivyo basi akae kwa usalama.
12"
Promo
Makala 2000s song-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |