Lily Woodham

Woodham akichezea wales mnamo 2020

Lily Susan Woodham (alizaliwa 3 Septemba 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Wales, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Crystal Palace F.C, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa Wales.[2]

  1. "Lily Woodham Stats, Info and performances". FootballCritic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  2. UEFA.com. "The official website for European football". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lily Woodham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.