Limpopo Pride ni timu ya kimataifa ya mpira wa kikapu ya nchini Afrika Kusini inayopatikana katika mji wa Limpopo. Timu ilishiriki katika mashindano ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.[1]
kukidhi vigezo katika sehemu hii mchezaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo
- Awe na historia na mchango katika maendeleo ya clabu au awe na tuzo binafsi kama mchezaji maarufu.
- Awe angalau ameshacheza mechi za kimataifa akiwa katika timu yake ya kawaida au mchezo mmoja wa NBA
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)