Long long time ago ni filamu ya nchini Singapore iliyotoka mwaka 2016 ikiongozwa na Jack Neo. Filamu hio inahusisha maadhimisho ya miaka 50 ya Singapore ikisheheni nyota kama Aileen Tan, Mark Lee na Wang Lei kama waigizaji wakuu.Filamu hio ilitolewa Tarehe 4 Februari 2016 nchini Singapore. Ikiwa ni filamu ya kwanza katika mfuatano wa filamu za Long long time ago,ikifuatiwa na filamu iitwayo Long Long Time Ago 2 (2016).
Aileen Tan kama Lim Zhao Di
Mark Lee kama Lim Ah Kun, mdogo wake Zhao Di
Wang Lei kama Si Shu, Baba yake na Zhao Di
Ng Suan Loi kama Si Shen,Mama yake na Zhao Di
Charmaine Sei kama Ah Feng,Mke wa Ah Kun
Benjamin Josiah Tan kama Lim Ah Hee, Mdogo wake na Zhao Di ambae ni miongoni mwa wanakikundi wa kwanza wa kikundi cha wanajeshi wa taifa
Ryan Lian kama Ah Long, Mhalifu
Yan Li Xuan kama young Su Ting, Binti mkubwa wa Zhao Di
Suhaimi Yusof kama Osman, Muuzaji wa vyakula wa Malay
Nurijah binte Sahat kama Fatimah,Mke wake na Osman
Silvarajoo Prakasam kama Shamugen
Bharathi Rani kama Rani, Mtoto wa Shamugen
Ezekiel Chee
Siaw Ee John
Cruz Tay
Roy Li
Yan Li Ming
Jack Neo
Irene Kng
Yoo Ah Min
Henry Thia
Cheah Gim Hin
Justin Dominic Misson
Tosh Zhang
Wang Weiliang
Joshua Tan
Jaspers Lai
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Long Long Time Ago kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |