Louis Ncamiso Ndlovu (15 Machi 1945 – 27 Agosti 2012) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Dayosisi ya Manzini, Eswatini.
Alipata upadrisho mwaka 1975 na aliteuliwa kuwa askofu mwaka 1985. Alifariki akiwa bado madarakani.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |