“Mad” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Ne-Yo kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman | |||||
Imetolewa | 21 Oktoba 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2008 | ||||
Aina | Pop, R&B | ||||
Urefu | 4:14 | ||||
Studio | Def Jam | ||||
Mtunzi | M.S. Eriksen, T.E. Hermansen, S. Smith | ||||
Mtayarishaji | Stargate, Ne-Yo | ||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
"Mad" ni wimbo wa mwimbaji na mtunzi wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani - Ne-Yo. Huu ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman. Wimbo ulitayarishwa na Stargate na yeye mwenyewe.
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Eurochart Hot 100 Singles | 60 |
Irish Singles Chart[1] | 30 |
Japan Hot 100 Singles | 99 |
Australian ARIA Singles Chart | 82 |
New Zealand Singles Chart[1] | 5 |
Swedish Singles Chart | 57 |
UK Singles Chart[1] | 19 |
UK R&B Chart[2] | 3 |
U.S. Billboard Hot 100 | 11 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 5 |
U.S. Billboard Pop 100 | 13 |
Canadian Hot 100[3] | 23 |