Kihistoria ilikuwa jina la makazi ya wafanyakaziWaafrika katika miji ya kikoloni. Ni kwamba Waingereza katika miji iliyoundwa nao katika Afrika ya Mashariki walifuata mpangilio uliokuwa na sehemu tatu[1]:
↑Kuhusu mpangilio wa miji katika Afrika ya Mashariki wakati wa ukoloni tazama Robert Home, Colonial Urban Planning in Anglophone Africa, uk. 60, ktk Carlos Nunes Silva (Ed.) (2015). Urban Planning in Sub-Saharan Africa: Colonial and Postcolonial Planning Cultures. New York, ISBN: 9780415632294
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.