Makindu ni mji wa Kenya kusini katika kaunti ya Makueni. Ni kata ya Eneo bunge la Kibwezi Magharibi[1].
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 15,038[2].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Makindu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |