Maputo City Hall au Jengo la Halmashauri ya mji Maputo. (kwa lugha ya kireno: Edifício do Conselho Municipal de Maputo). Jengo hilo ni makao makuu ya serikali za mitaa za jiji kuu la Msumbiji. jengo hilo lipo maeneo ya nembo ya uhuru (Independence Square) Praça da Independência, iliyosimamishwa mnamo 1947.
jengo hilo lilibakia kuwa makao makuu ya jiji baada ya Msumbiji kupata uhuru wake mnamo mwaka 1975 kutoka kwa wakoloni. serikali ya jiji ambayo mpaka sasa inamiliki jengo, linajulikana kama Conselho Municipal de Maputo kwa lugha ya kireno.
Jengo hilo ni moja ya vivutio mjini Maputo, pia jengo lipo kwenye orodha namba 31708 ya majengo ya urithi kutoka kwa wareno (Sistema de Informação para o Património Arquitectónico (SIPA)[1] [2]
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |