Margo Timmins

Margo Timmins (alizaliwa 27 Januari, 1961) ni mwimbaji maarufu wa muziki kutoka Kanada, ambaye ni mjumbe wa kundi la muziki la Cowboy Junkies.[1]

  1. Rose, Mike (Januari 27, 2020). "Today's famous birthdays list for January 27, 2020 includes celebrities Alan Cumming, James Cromwell". Cleveland.com. Iliwekwa mnamo Januari 27, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margo Timmins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.