Maria Domenica Lazzeri (anajulikana pia kama "la Meneghina"; 1815–1848) alikuwa Mkristo aliyezamia mafumbo kutoka Italia. Alijulikana sana kwa kuwa na alama za mateso ya Kristo (stigmatist) katika eneo la Tyrol.
Mchakato wa kumtangaza mtakatifu ulianzishwa mwaka 1995.[1]
Maria Domenica Lazzeri alizaliwa tarehe 16 Mei 1815 huko Capriana, Italia. Anajulikana kama "l'addolorata di Capriana" ("mwanamke mwenye huzuni wa Capriana"). Alifanya kazi kama mkulima kwenye ardhi ya baba yake hadi alipougua ugonjwa usioweza kutibika.[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |