Marie Fabien Raharilamboniaina, O.C.D. (alizaliwa 20 Januari 1968) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Madagaska. Amehudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Morondava tangu mwaka 2010.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |