Martin Manley (mwanariadha)

Martin Manley (alizaliwa 10 Machi 1997) ni mbimbiaji wa kiume kutoka Jamaika, ambaye anajulikana zaidi kwa kushiriki katika mbio za mita 200 na mita 400. Alienda shule ya upili ya St Jago katika mji wa Spanish Town, Jamaica.[1][2][3]

Manley alikuwa sehemu ya timu ya relays ya mita 4 × 400 ambayo ilishinda medali ya shaba katika Mashindano ya Dunia ya IAAF ya 2017 yaliyofanyika Nassau, Bahamas.[4]

  1. "Injuries force 2013 U18 World Champion, Youth Olympic gold medalist, Martin Manley, into retirement". Sportsmax.tv. Iliwekwa mnamo 13 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Boys excite in 400m excitement on Champs 2015's opening day", Jamaican Gleaner. 
  3. "Manley back on track", Jamaican Gleaner. 
  4. "Martin Manley, 24, quits track and field", Jamaican Observer.