Masaki Ejima

Masaki Ejima

Masaki Ejima (江島 雅紀, Ejima Masaki, alizaliwa 6 Machi 1999) ni mwanariadha wa Japani aliyejikita sana na mchezo wa kujirusha juu kwa kutuMia fimbo nyembamba na inayonesa kutoka upande mmoja kwenda wa pili[1]. AliiwakilIsha nchi yake kwenye mashindano ya dunia ya mwaka 2019 bila ya kupitia kwenye fainali. Mnamo mwaka 2018 alishinda medali ya shaba katika michuano ya dunia chini ya miaka 20 mjIni Tampere.

Baadhi ya rekodi zake bora ni ile ya mita 5.71 ya nje (Kisarazu 2019) na ya mita 5.50 ya ndani (Pajulahti 2017).

Mashindano ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Ushindani Ukumbi Nafasi Madokezo
Representing  Japan
2015 Mashindano ya Vijana duniani Cali, Colombia 6 mita 5.00
2016 Mashindano ya Dunia ya chini ya miaka 20 Bydgoszcz, Poland 6 mita 5.35
2017 Michuano ya Asia Bhubaneswar, India 2 mita 5.65
Universiade Taipei, Taiwan 4 mita 5.40
2018 Mashindano ya Dunia ya chini ya miaka 20 Tampere, Finland 3 mita 5.55
2019 Michuano ya Asia Doha, Qatar 6 mita 5.51
Universiade Naples, Italy 7 mita 5.21
Mashindano ya Dunia Doha, Qatar 28 (q) mita 5.45
  1. "Masaki EJIMA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masaki Ejima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.