Maturini (pia: Maturinus, Mathurin, Matilin, Matelin, Mathelin, Maturin, Maturino[1]; Larchant, leo kaskazini mwa Ufaransa, karne ya 3 – Roma, Italia, 300 hivi), alikuwa padri maarufu kwa kufukuza pepo[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[4].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |