Mauricio Rueda Beltz

Mauricio Rueda Beltz (alizaliwa 8 Januari 1970) ni askofu wa Kolombia wa Kanisa Katoliki ambaye anafanya kazi katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani.[1][2]

  1. "Resignations and Appointments, 16.06.2023". Iliwekwa mnamo Juni 16, 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sacerdote colombiano Mauricio Rueda Beltz, nombrado nuncio apostólico en Costa de Marfil". Iliwekwa mnamo Juni 16, 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.