Michiko Ishimure (11 Machi 1927 – 10 Februari 2018)[1] alikuwa mwandishi na mwanaharakati kutoka Japani.
Alishinda Tuzo ya Ramon Magsaysay ya 1973, kati ya tuzo za kifahari zaidi barani Asia, kwa kueneza maandishi kuhusu ugonjwa wa Minamata, ambao ulikuwa na utata sana wakati huo.[2]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michiko Ishimure kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |