Milevum (kwa Kilatini "Milev" au "Mireon") ulikuwa mji wa Kiroma–Kiberber katika mkoa wa Numidia.
Unajulikana kama mji wa Mila kwa sasa, upo mashariki mwa Algeria.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milevum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |