Milima Amaro ni safu ya milima ya Ethiopia (Afrika Mashariki).
Urefu wake unafikia hadi mita 3,240 juu ya usawa wa bahari.