Milima Bale ni safu ya milima ya Ethiopia (Afrika Mashariki).
Urefu wake unafikia hadi mita 4,377 juu ya usawa wa bahari.