Mirosław Adamczyk (alizaliwa 16 Julai 1962) ni askofu wa Polandi katika Kanisa Katoliki ambaye amehudumu katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani tangu mwaka 1993, akiwa na cheo cha Balozi wa Kitume tangu mwaka 2013.[1]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |