Mkoa wa Grands-Ponts | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lagunes |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Lagunes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Kouakou Assoman |
- Rais wa Baraza | Joseph Gabriel Yace |
Eneo[2] | |
- Jumla | 5,500 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 356,495 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Grands-Ponts (kwa Kifaransa: Région des Grands-Ponts) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kusini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Dabou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 356,495.
Grands-Ponts kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Grands-Ponts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |